Mwongozo wa mwaka almaarufu yearbook wazinduliwa

  • | KBC Video
    88 views

    Kwa wale watafutao habari za kina kuhusu masomo mbalimbali wanafaa kuthamini mwongozo wa mwaka almaarufu yearbook, kitabu ambacho ni raslimali muhimu kwa wabunifu sera, wasomi, wawekezaji pamoja na raia. Akizungumza baada ya kuzinduliwa kwa mwongozo huo wa mwaka 2024, afisa mkuu mtendaji katika bodi ya uhariri wa kitabu hicho Lilian Kimetto, alisema mwongozo huo wa mwaka 2024 ambao umeandikwa kwa mtindo wa kuwavutia vijana, unanuiwa kuhamasisha fahari ya taifa, kuimarisha elimu na kuhakikisha kwamba historia ya taifa inahifadhiwa kwa ajili ya vizazi vijavyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive