Mzazi ataka mshukiwa anyimwe dhamana Mombasa

  • | Citizen TV
    1,079 views

    Mzazi ambaye mtoto wake alitoweka baada ya kudaiwa kutekwa nyara na jirani yake huko changamwe katika kaunti ya Mombasa ,sasa anaitaka mahakama kufutilia mbali dhamana ya mshukiwa huyo kwa madai ya kutishia usalama wake.