Mzee mkongwe zaidi Kajiado afariki akiwa na miaka 113

  • | KBC Video
    107 views

    Mamia ya marafiki na jamaa walifurika katika kanisa la KAG kijijini Impironi, kaunti ndogo ya Kajiado kusini, kaunti ya Kajiado, kumpa mkono wa buriani mwendazake Mzee Nina Tata Ole Masoi,aliyefariki akiwa na umri wa miaka 113. Mzee Nina aliyezaliwa mwaka 1912, ndiye mkongwe zaidi kuwahi kuwa hai katika eneo la Loitok Tok miongoni mwa wazee watatu wa rika lake walio hai.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive