Mzozo DRC: SADC na EAC kuja na suluhu ya mgogoro wa DRC

  • | BBC Swahili
    584 views
    Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki na zile za Kusini mwa Afrika wanakutana jijini Dar es Salaam kujaribu kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Wengi wanasubiria kuona kwa kiasi gani jumuiya hizi mbili zitafanikiwa kudhibiti mapigano na kurejesha usalama na huduma za msingi za wananchi huko Mashariki mwa Kongo. Je watafanikiwa? @sammyawami anaelezea Kutazama makala hii kwa urefu zaidi tembelea ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili - 🎥: @bosha_nyanje - - - #bbcswahili #DRC #tanzania #SADC #EAC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw