Mzozo kati ya magavana na msimamizi wa bajeti Margaret Nyakango kuhusu basari yatokota

  • | Citizen TV
    694 views

    Hatma ya maelfu ya wanafunzi wanaotegemea msaada wa karo kutoka kwa serikali za kaunti haijulikani huku mzozo kati ya magavana na msimamizi wa bajeti margaret nyakango ukiendelea. Gavana wa murang'a irung'u kang'ata amewasilisha ombi mahakamani kuitaka mahakama kumpata nyakango na hatia ya kudharau uamuzi wa mahakama kwa kukosa kuwaruhusu magavana kutoa ufadhili wa karo kama ilivyoshauri mahakama hivi majuzi. Willy lusige na taarifa Zaidi.