Mzozo wa DRC: Kuchukuliwa kwa Bukavu ni muhimu kiasi gani kwa M23?

  • | BBC Swahili
    5,103 views
    Hatua ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Bukavu ambao ni wa pili kwa ukubwa katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kunaonekana kulemaza juhudi za kikanda na kimataifa za kutafuta ufumbuzi wa mzozo unaoendelea kufukuta. Lakini kuchukuliwa kwa Bukavu ni muhimu kiasi gani kwa M23 na je kunaweza kusababisha mgogoro wa kikanda? Mwandishi wa BBC @munie_noor anaeleza kwa undani. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #DRC #bukavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw