Mzozo wa Gaza unazidi kutokota

  • | BBC Swahili
    471 views
    Rais Trump amewapa Hamas hadi Jumamosi kuwaachilia mateka wote wa Israel. Je hatima ya makubaliano ya kusitisha amani ni ipi? Tunatazamia suala hili kwa kina katika Dira ya Dunia TV saa tatu usiku naye @roncliffeodit mubashara kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #gaza #Hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw