Mzozo wa uongozi wazonga Chuo Kikuu cha Nairobi

  • | KBC Video
    38 views

    Chuo kikuu cha Nairobi kinamtaka jaji wa mahakama ya upeo William Ouko kuwa mpatanishi kwenye mzozo wa uongozi baina ya baraza la chuo hicho na wasimamizi. Kamati ya bunge kuhusu elimu iliyozuru chuo hicho leo iligundua kwamba vuta nikuvute iliyopo imesababisha kuwasilishwa kwa kesi 16 mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News