NACADA yasema kwamba pombe haramu ni changamoto kwa taifa zima.

  • | K24 Video
    240 views

    Mamlaka ya kitaifa ya kudhibiti matumizi ya pombe na dawa za kulenya (NACADA) imesema kwamba pombe haramu ni changamoto kwa taifa zima. Mratibu wa nacada katika kaunti za Nakuru na Narok wendy waithaka amesema kuna haja ya dharura kuweka vituo vya kurekebisha tabia. vilevile viongozi wameonywa dhidi ya kuhusisha suala la pombe haramu na siasa. Mbunge wa bahati irene njoki amesema matamshi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kuisingizia serikali ya wiliam ruto kuwa inahusika katika janga hiuli ni ya kutamausha.