Naibu gavana wa Uasin Gishu John Barorot ajiuzulu

  • | KBC Video
    102 views

    Kaunti yaUasin Gishu itapata naibu mpya wa gavana kufuatia kujiuzulu kwa mhandisi John Barorot. Mhandisi Barorot alitoa tangazo hilo leo kwenye mkutano na gavana Dr. Jonathan Bii na wafanyakazi wakuu wa kaunti hiyo jijini Eldoret. Amejiuzulu takriban juma moja baada ya kupuuzilia mbali madai kwamba amejiuzulu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive