Naibu rais asema serikali inachunguza mioto ya masoko Nairobi

  • | KBC Video
    112 views

    Serikali inachunguza mikasa ya moto ya mara kwa mara kwenye masoko katika kaunti ya Nairobi, ambayo imewaacha maelfu ya wafanyabiashara wakikadiria hasara kubwa. Akizungumza baada ya kukutana na wafanyabiashara waliopoteza mali yao kufuatia mkasa wa moto wa hivi majuzi katika soko la Gikomba, naibu Rais Prof. Kithure Kindiki alisema ripoti ya uchunguzi wa moto huo inatarajiwa kutoa mapendekezo ya suluhu za kudumu kwa mikasa hiyo katika masoko ya Gikomba na Toi. Timothy Kipnusu na taarifa zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive