Naibu Rais Kindiki asema serikali haitaruhusu viongozi kuhujumu uthabiti wa kitaifa

  • | KBC Video
    1,678 views

    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki sasa anasema kuwa serikali haitaruhusu viongozi kuhujumu uthabiti wa kitaifa kwa manufaa ya kisiasa. Akizungumza katika eneo la Kilgoris, kaunti ya Narok wakati wa ibada ya kutoa shukrani za madhehebu mbalimbali, Kindiki alisema umoja ni muhimu akisema kuwa kutovumiliana kisiasa kutazuia maendeleo na ukuaji wa uchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive