Naibu Rais Kithure Kindiki awataka wakosoaji wa serikali wawe na heshima

  • | Citizen TV
    4,261 views

    Naibu wa rais prof.Kithure Kindiki amewataka wakosoaji wa serikali kufanya hivyo kwa njia ya heshima na wala si kwa matusi. Akiongea katika eneo la Njukini eneo bunge la Taveta alikotoa hatimiliki za mashamba,Kindiki anasema wananchi wana haki ya kukosoa serikali ila sharti wafanye hivyo kwa njia inayokubalika.