Naibu Rais yuko Entebbe Uganda kwa mkutano wa Afrika

  • | Citizen TV
    1,306 views

    Naibu wa Rais Kithure Kindiki yuko mjini Entebbe, Uganda kumwakilisha Rais William Ruto katika kikao cha mataifa ya bara Afrika