Naibu Spika ya Trans Nzoia mashakani baada ya kukiuka mahakama kuhusu kubandua mawaziri wa kaunti

  • | NTV Video
    227 views

    Naibu spika wa bunge la kaunti ya Trans Nzoia Obed Mwale Mahanga, amejipata pabaya baada ya kushtakiwa kwa tuhuma za kudhalilisha, kudharua na kukiuka agizo la mahakama, la kusitisha kwa muda hoja ya kuwabandua mawaziri wawili na katibu wa kaunti hiyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya