'Nalipenda jibu la hapana kuliko ndio'

  • | BBC Swahili
    544 views
    Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024 na KBF ambapo alipata zaidi ya shilingi milioni 560 za Kitanzania. Je amewezake kufikia mafanikio ya kimataifa akiwa katika umri wa miaka 31 tu? Tazama #bbcswahili #tanzania #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw