NCCK yawataka polisi kuzingatia sheria

  • | Citizen TV
    272 views

    Mwenyekiti wa baraza la makanisa nchini NCCK Dkt. Timothy Ndambuki amewataka maafisa wa polisi kuzingatia sheria na katiba wanapotekeleza majukumu yao. Ndambuki aidha amewalaumu maafisa wa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuwakabili waandamanaji. zaidi ya watu arobaini walifariki kwenye maandamano nchini.