Nchi ya Kiafrika yenye kiwango cha juu zaidi cha watu kujiua duniani

  • | BBC Swahili
    191 views
    Lesotho ni nchi yenye kiwango cha juu zaidi cha watu kujitoa uhai duniani, hii kwa mujibu wa Shirika la Afya Ulimwenguni. Idadi ya watu wanaojiua ni mara mbili ya nchi inayofuata kwenye orodha, Guyana. BBC imesafiri hadi wilaya ya Leribe, kaskazini mwa nchi hiyo, kufahamu sababu ni nini? #bbcswahili #lesotho #WHO #afya #afyayaakili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw