Ndani ya hospitali inayokabiliana na watoto wenye utapiamlo Sudan

  • | BBC Swahili
    136 views
    Moja ya njaa kali zaidi katika miongo kadhaa ipo karibu kuzuka nchini Sudan. Nchi iliyo katikati ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. BBC imetembelea wadi ya hospitali huko Omdurman, kaskazini-magharibi mwa mji mkuu Khartoum. #bbcswahili #sudan #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw