Ndege ya Delta Airline na abiria 80 yaanguka na kupinduka juu chini Canada

  • | BBC Swahili
    3,515 views
    Watu 80 wamenusurika kifo katika ajali ambayo ndege ya shirika la Delta Airline ilitua na kupinduka juu chini huko Canada. Mamlaka za uwanja wa ndege wa Toronto Pearson zilisema abiria wote wameokolewa huku majeruhi 18 wakikimbizwa hospitalini. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
    arson