Ndindi Nyoro asema hana muda wa siasa hasi

  • | KBC Video
    2,769 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro, amesisitiza kwamba hatayumbishwa na siasa duni za kumfanya kujihusisha na ajenda isio na maendeleo. Akiongea wakati wa uzinduzi wa afisi mpya ya utawala huko Kiharu, Ndindi ambaye alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa , alisisitiza kujitolea kwake kukamilisha miradi muhimu kwa wakazi wa eneo bunge lake licha ya kuwepo kwa siasa za mgawanyiko.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive