Ndindi Nyoro asema serikali inapania kupunguza deni la kitaifa kwa kuongeza ushuru kwa asilimia 2.9

  • | Citizen TV
    285 views

    mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi nyoro amesema kuwa serikali inapania kupunguza deni la kitaifa kwa kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka 2024/2025 imefadhiliwa kwa kiwango kikubwa na ushuru unaokusanywa ili masalio yasizidi 2.9% ya bajeti hiyo ya trilioni 3.9.