Ndovu aliyehepa msituni amvyoga na kumuua mwalimu Kericho

  • | Citizen TV
    310 views

    Familia moja katika kijiji cha Miti Tatu eneo bunge la Kipkelion mashariki inaomboleza kifo cha jamaa yao aliyeuawa na ndovu.