Ndugu wawili wafariki kwenye ajali ya barabara Nakuru

  • | Citizen TV
    1,611 views

    Kwingineko katika kaunti ya Nakuru, familia moja inaomboleza vifo vya Ndugu wawili, David Mwangi Kifungua mimba wa Dorcas Nduta Mwangi na kitinda mimba Paul Mwangi mwenye umri wa miaka 38 kutoka Wanyororo B, eneo bunge la Bahati baada ya wawili hao kuhusika katika ajali jana Jioni katika eneo la Soi Sambu Gilgil, barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru.