Ndung'u ashinda taji la ulenjaji shabaha IDPA barani

  • | Citizen TV
    283 views

    Masta Ibrahim Ndung'u ndiye mshindi wa taji la jumla katika makala ya mwaka huu ya mashindano ya ulengaji shabaha ya IDPA bara Afrika ambayo yamekamilika hii leo katika klabu ya Bamburi kaunti ya Mombasa.