‘Neno uchawa ni mtazamo’

  • | BBC Swahili
    897 views
    Jina “Chawa” ama "Uchawa" limejipatia umaarufu miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kutokana na vitendo vya baadhi ya watu kuwasifia viongozi au watu maarufu wakati mwingine kupita kiasi. Kwa Naibu Waziri Mkuu, pia Waziri wa Nishati Dotto Biteko, dhana ya kusifia ni mtazamo wa mtu anavyoweza kutafsiri, hivyo kila mtu anapaswa kuheshimiwa juu ya mtazamo wake. Amebanisha hayo katika mahojiano maalumu na mwandishi wa BBC Florian Kaijage. Kwa urefu zaidi wa mahojiano haya tafadhali tembelea ukurasa wetu wa YouTube pamoja na vipindi vyetu vya redio na televisheni. #bbcswahili #tanzania #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw