"Netumbo Nandi-Ndaitwah: 'Ujerumani inahitaji kuomba msamaha Namibia'.

  • | BBC Swahili
    2,090 views
    Netumbo Nandi-Ndaitwah aliapishwa kama rais wa kwanza mwanamke wa Namibia katika maadhimisho ya miaka 35 ya uhuru wa nchi hiyo, na kuashiria hatua muhimu ya kihistoria. Anaangazia mauaji ya halaiki ya Namibia, kwani nchi hiyo imekuwa ikitafuta maridhiano na Ujerumani tangu mwaka 2015. Hata hivyo, kiasi cha fidia bado hakijaafikiwa. #bbcswahili #namibia #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw