Ngamia walioibwa Isiolo, Marsabit na Samburu wapatikana

  • | Citizen TV
    675 views

    Asasi za usalama katika kaunti za Marsabit, Isiolo na Samburu zinatafakari jinsi ya kutatua mzozo unaozingira umiliki wa Ngamia walioibwa katika kaunti ya Isiolo, Ngamia hao walipatwa na sasa wanapaswa kurejeshwa katika eneo la Laisamis Kaunti ya Marsabit. Wafugaji kutoka Isiolo na Samburu wanazozania umiliki wa Ngamia hao.