Ngoja Ngoja Ya Vietnam: Wakenya bado wanasubiri hatma ya Margaret Nduta

  • | Citizen TV
    15,775 views

    Margaret Nduta alihukumiwa kunyongwa Vietnam

    Kenya imemtuma Balozi wa Thailand kwenda Hanoi

    Taarifa hazijabainika kuhusu hatma ya Mkenya huyu