"Ni bora Chadema ife kuliko kusimamia uongo'

  • | BBC Swahili
    25,737 views
    ''Wanatutishia kuwa CHADEMA itakufa tusiposhirki uchaguzi, Chadema itakufa hii? Na ife kama tutasimamia jambo lisilo la kweli. Na Ife kuliko kuwepo na kusimamia uongo.'' - Makamu Mwenyekiti John Heche . #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw