Ni ipi njia bora ya kujenga upya Gaza?

  • | BBC Swahili
    2,365 views
    Dira Promo Ukanda wa Gaza kwa sasa ni tambarare, vifusi vikisalia pekee. Na huku Wapalestina wakijiandaa kujenga upya maisha na nyumba zao, ni ipi njia bora itakayowafaa kuanza upya? @RoncliffeOdit anaangazia hilo katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili