'Nilikuwa napenda sana kuokoa maisha ya mama na mtoto'

  • | BBC Swahili
    296 views
    Daktari mbunifu kutoka Tanzania Emanuel Mushi, amebuni teknolojia maalumu tatu kwa pamoja: Local New-baby Thermal Control, Incubator baby na Enabranes Nest ambazo zinasaidia kukabiliana na matatizo yanayohusiana na joto la mwili kupungua kwa watoto wachanga. - Vifaa hivyo ambavyo amevitengeneza kwa njia ya kienyeji, vimesaidia kuokoa maisha ya watoto karibu 2000 katika Zahanati ya Mererani Yusuph Mazimu amemtembelea huko Mererani Manyara na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw