"Nilipigwa na askari wa kiume kama watatu"

  • | BBC Swahili
    1,185 views
    "Nilipigwa na askari wa kiume kama watatu, walikuwa hawachagui sehemu ya kupiga, wakanipiga kwenye nyayo sana, kwenye magoti" Hawa ni baadhi ya wafuasi na wanachama chama cha Upinzani nchini Tanzania Chadema, wakisimulia waliyopitia siku ya kusikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu Aprili 24. #bbcswahili #tanzania #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw