'Nimeandamana nataka Spika wa Bunge ajiuzulu, ameiibia nchi hii'

  • | BBC Swahili
    1,841 views
    Raia kadhaa wa Uganda wanasemekana kukamatwa na polisi wakati wa makabiliano kati ya maafisa wa polisi na waandamanaji waliokuwa wakielekea katika majengo ya Bunge kama ishara ya kupinga ufisadi. Vijana ambao wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha, walibeba mabango wakitaka spika wa bunge ajuzulu. #bbcswahili #uganda #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw