"Nina kigugumizi lakini nikishika kipaza sauti kuimba kinapotea"

  • | BBC Swahili
    119 views
    @jaycombat_ ni mwanamuziki wa singeli kutoka nchini Tanzania ambaye wimbo wake wa wivu umekuwa ukifanya vizuri Afrika Mashariki na katika mitandao ya kijamii. Anaongea kwa kigugumizi lakini linapokuja suala la muziki anaimba vyema kabisa, Je nini siri ya hilo? Anafanya mahojiano na Mwandishi wa BBC @bosha_nyanje na kumwambia kuwa wimbo huo umemfungulia milango, ambapo umepelekea watu kuanza kuzijua hadi nyimbo zake za zamani. - Tazama mahojiano haya kwa urefu hapa hapa Youtube tafuta JayCombat katika ukurasa wa BBCSwahili 🎥: Frank Mavura - #bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw