'Ninajivunia kuwa mchezaji wa timu ya tenisi ya kiti cha magurudumu'

  • | BBC Swahili
    378 views
    Ulemavu wa viungo ulizima ndoto yake ya kuwa mwanajeshi nchini Tanzania lakini haukuweza kukata kiu yake ya kuwa mwanamichezo bingwa wa tennis. Lucy Shirima mwenye umri wa miaka 26,anajivunia kumudu Maisha kupitia mchezo wa tennis akichezea timu ya wheel chair tennis ya Tz Je ilikuwaje akaingia katika mchezo wa Tenisi na nani ana mvutia katika mchezo huo? Amemueleza mengi @marthasaranga 🎥: @frankmavura #bbbcswahili #waribiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw