Skip to main content
Skip to main content

'Ninamshukuru Mungu jinsi John Heche anavyosimamia haki'- Mama Suguta Heche

  • | BBC Swahili
    43,402 views
    Duration: 7:45
    “Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea na hawajulikani walipo” - Mama Suguta Heche, mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania,CHADEMA John Heche. BBC imezitafuta mamlaka za polisi nchini Tanzania lakini hadi wakati wa kuenda hewani hatujapata tamko la polisi kumhusu John Heche. Tunaendelea kuwatafuta. - - - #chadema #johnheche #bbcswahili #foryou #siasa #tanzania #uchaguzimkuu2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw