Nini cha kufanya ikiwa unashikwa na mafuriko ya ghafla

  • | BBC Swahili
    384 views
    Mafuriko ni aina ya kawaida ya maafa ya asili na yanaweza kutokea popote duniani. Pia yanaweza kutokea ghafla bila tahadhari, hivyo hizi ndizo njia kadhaa ambazo wataalamu wanapendekeza zinazoweza kusaidia watu kuwa salama wakati wa mafuriko. #bbcswahili #mafuriko #majangayaasili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw