Njuri Ncheke yasifia kuteuliwa kwa naibu gavana

  • | Citizen TV
    128 views

    Wazee wa Njuri Ncheke na wakazi wa Meru wametaja kuteuliwa kwa mwanamke kuwa naibu gavana wa kaunti hiyo kama hatua endelevu, ambayo ni dhihirisho kuwa hawana pingamizi na uongozi wa wanawake