NTSA kushirikiana na serikali za kaunti kubuni mkakati

  • | KBC Video
    41 views

    Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani, NTSA inanuia kushirikiana na serikali za kaunti kadha kubuni mikakati madhubuti ya kukomesha ajali za barabarani. Hatua hiyo itakayojumuisha kaunti za Nakuru, Kakamega, Kericho, Kisumu na Siaya itatathmini hali zinazochangia maafa kutokana na ajali za barabarani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive