NTV itakuletea mbio za Berlin moja kwa moja siku ya Jumapili

  • | NTV Video
    80 views

    Siku ya jumapili, mbio za Berlin Marathon zitakuwa zinaadhimisha miaka hamsini tangu kuasisiwa kwake na baadhi ya wanariadha tajika wa Kenya waliobobea na hata kuvunja rekodi katika mbio hizo wamepewa mwaliko kama wageni spesheli katika maadhimisho hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya