Nyangumi asafiri kutoka Colombia hadi Tanzania 'kutafuta majike'

  • | BBC Swahili
    3,820 views
    Nyangumi mwenye nundu amewashangaza wanasayansi kwa kusafiri kutoka Colombia hadi Tanzania kwenda 'kutafuta jike' Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017, kisha kuibuka tena miaka kadhaa baadaye visiwani Zanzibar katika bahari hindi umbali wa kilomita 13,000. Je Nyangumi huyu alifikaje Tanzania? Omary Mkambara @loko_omi anaelezea #bbcswahili #nyangumi #colombia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw