Nyaraka za herufi za kiarabu zinavyohifadhiwa Afrika Mashariki

  • | VOA Swahili
    160 views
    Herufi za kiarabu ni sehemu muhimu sana katika historia ya Utamaduni wa Afrika Mashariki. Hii imesukuma wataalamu wa maswala ya mambo kale kutoka ulaya kufuatilia nyaraka za kale ambazo zimehifadhiwa na watu binafsi au kumbukumbu katika mataifa hayo kufahamu na kuhifadhi nyaraka hizo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.