Skip to main content
Skip to main content

Nyegenyege 2025 ilivyofana huko Jinja Uganda

  • | BBC Swahili
    1,227 views
    Duration: 1:34
    Maelfu ya mashabiki wa muziki wako nchini Uganda kwa tamasha la Nyege Nyege.Tamasha hilo la kila mwaka linasherehekea muziki na utamaduni wa Afrika Mashariki. Zaidi ya wasanii 300 kutoka mataifa 30 kote duniani wako katika maeneo ya Kalagala Falls ambako makala ya 10 ya Nyege Nyege yanaandaliwa. - @RoncliffeOdit yuko Kalagala mjini Jinja... - #bbcswahili #wasanii #Uganda ´#nyegenyege #jinja Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw