Nyoro asema hajutii kuondolewa kwake kutoka uenyekiti wa kamati ya bajeti

  • | KBC Video
    48 views

    Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti na mgao wa fedha katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro, amesema hana majuto kuhusu kuondolewa kwake katoka wadhifa huo wiki iliyopita. Huku akitoa shukrani kwa kupewa fursa ya kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo muhimu, mbunge huyo wa Kiharu hata hivyo alisema hakuna mtu kutoka muungano tawala aliyewahi kumuuliza swali kuhusu masuala ya kamati aliyoongoza. Nafasi yake ilichukuliwa na mbunge wa ODM kutoka eneo bunge la Alego Usonga Samuel Atandi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive