Nyota wa Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    475 views
    Paul Clement @ministerpaulclement ni muimbaji wa nyimbo za injili kutoka kutoka Tanzania. Paul Clement alikuwa na ndoto ya kuwa rubani hapo awali, je ilikuwaje? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw