Skip to main content
Skip to main content

Nyufa zazidi kwenye muungano wa upinzani

  • | Citizen TV
    13,834 views
    Duration: 2:46
    Nyufa ndani ya muungano wa upinzani ziliendelea kudhihirika leo, kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua akiwashutumu baadhi ya viongozi wanaotaka kumrithi Rais William Ruto, kwa kuendelea na mikutano kwenye hoteli na mitandaoni badala ya kutafuta kura kwa wananchi. Kikosi hicho kinachoongozwa na Gachagua aidha kilitua katika kaunti ya Kajiado leo, huku aliyekuwa waziri wa usalama Dkt. Fred Matiang’i ambaye ametangaza nia ya kujitosa ulingoni kwa kivumbi cha urais akiwa na hafla katika kaunti ya Nakuru.