- 5,051 viewsDuration: 34sNyumba tano ambazo hazikuwa na wakazi na zilikuwa juu ya nguzo zimeanguka baharini baada ya kupigwa na mawimbi hatari huko Buxton, North Carolina. Mamlaka za eneo hilo zimeripoti kuwa hakuna majeruhi lakini zimeonya kuwa kuna uwezekano wa nyumba zaidi kuanguka na kuwataka watu kuepuka eneo hilo. #bbcswahili #marekani #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw