Obado akanusha kuagiza mauaji ya Sharon Otieno

  • | KBC Video
    510 views

    Gavana wa zamani wa kaunti ya Migori Okoth Obado amekanusha kuwapa majukumu haramu washtakiwa wenza wawili ambao ni aliyekuwa msaidizi wake Michael Oyamo, na aliyekuwa katibu wa kaunti ya Homabay Caspal Obiero. Akijitetea kwa siku ya pili kwenye kesi ya mauaji ya Sharon Otieno, Obado alitoa taswira ya uhusiano ulioanza kwa urafiki wa karibu, kabla ya kudorora baada ya kutofautiana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive