Obado asema mkewe alifahamu uhusiano wake na Sharon.

  • | Citizen TV
    1,844 views

    Aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth obado amejitetea mahakamani akijitenga na kuhusika kwa njia yoyote ile na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno. Obado akiifahamisha mahakama kuwa uhusiano wao haukuwa wa siri na alikuwa amemfahamisha mkewe kumhusu hata kabla ya kifo cha Sharon.